Sauti ya Cabo Delgado — 17.5.2021

Loading player...
Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei,17, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado .

Zifuatazo ni mada za habari:

🔸Wilaya Tano kati ya 17 za Cabo Delgado ziko katika tete ya usalama
🔸Karibu watu 500 waliokimbia makazi yao wilaya ya Palma uko Montepuez Na Ancuabe
🔸Mku wa wilaya ya Muidumbe anatoa wito kwa maafisa wa afya kurudi wilayani
🔸Mashambulio Cabo Delgado ni agend ya Raisi Nyusi uko ufranca

Huu ni muisho wa tarifa ya habari .

Endelea kupata habari kutoka kwa mkoa wa Cabo Delgado, kwa kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.
Pokea habari hizo kila siku kwenye WhatsApp kwa Kutuma ujumbe number +58843285766 kisha chagua lugha yako kati ya Kireno.Emakwa, Shimakonde, kimuane au kishuili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
17 May 2021 5AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 9AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado 🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado…
15 Aug 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. 🔸 Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure 🔸 Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti…
8 Aug 8AM 6 min