Sauti ya Cabo Delgado โ€” 27.5.2021

Loading player...
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 27,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari:

๐Ÿ”ถ Magaidi wanawakamata samaki huko macomia
๐Ÿ”ถ Gavana wa Cabo Delgado anakanusha kuwa vijana wanajiunga Na ugaidi kwa sababu ya ukosefo wa ajira
๐Ÿ”ถ Ripoti ya kila wiki inapatikana kutoka 10 hadi 23,2021 ya mradi wa Cabo Ligado wa ACLED

Huu ni muisho wa tarifa ya habari.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766.
Kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.

Plural media habari kwa lugha yako.
27 May 2021 5AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Jeshi lรก wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16โ€ฆ
13 Sep 9AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Watu wameuawa katika shambulio lรก waasi kwenye Bรกrabara 380 Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgadoโ€ฆ
15 Aug 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. ๐Ÿ”ธ Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure ๐Ÿ”ธ Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafitiโ€ฆ
8 Aug 8AM 6 min