Sauti Ya Cabo Delgado 03.03.2022

Loading player...
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado Alhamisi machi 03,2022.

Katika jarida ya leo.

🔸FAO inataka kuboresha lisha ya família zilizokimbia makazi huko Cabo Delgado.

🔸Tume ku ya Malawi ugaidi sio tu hatar kwa msumbiji.

🔸Mkuu wa wa SAMIM atoa wito kwa uwekezaji katika Cabo Delgado.

🔸Raia sabá wauawa katika mashambulizi ya kigaidi wilayani Nangade .

Endelea kupata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za sauti za kusikika.org au kutoka kwa kurasa zetu za fecebook,cheneli ya telgram,na program yoyo ya podcast.

Pokea habari za kila siku kwenya whatsapp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kireno,emakwa,shimakonde,kimuani au kiswahili.

Plural Media habar kwa lugha yako.
3 Mar 2022 5AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 9AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado 🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado…
15 Aug 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. 🔸 Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure 🔸 Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti…
8 Aug 8AM 6 min