Sauti Ya Cabo Delgado 06.12. 2022

Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 06,Desemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mambo muhimu.

๐Ÿ”ธ Vikosi vya Namparama vimidai kuwaua magaidi 11.

๐Ÿ”ธ Paulo Kagame amesema kuna zaidi ya wanajeshi 2500 wa Rwanda ambao wako huko Cabo Delgado.

๐Ÿ”ธ Selekali katika mkoa wa Niassa wanajadili kuhusu kuepo kwa mienendo ya ajabu katika wilaya sita.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook,telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:htts//iono.fm/e/1237576.

Pluaral Media habari kwa Lugha yako.
5 Dec 2022 8PM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Jeshi lรก wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16โ€ฆ
13 Sep 9AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Watu wameuawa katika shambulio lรก waasi kwenye Bรกrabara 380 Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgadoโ€ฆ
15 Aug 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. ๐Ÿ”ธ Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure ๐Ÿ”ธ Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafitiโ€ฆ
8 Aug 8AM 6 min