Sauti ya Cabo Delgado 20.06.2024
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 20.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Umoja wa ulaya huenda ukaidhinisha fedha zaidi Kwa Rwanda kupambana na ugaidi
🔸 UN Cabo Delgado haipaswi kusahaulika
🔸 Huduma za kimsingi zafungwa Quissanga.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.
Plural Media habari Kwa lugha yako.